tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Property
  3. Land & Plots For Sale
  4. Mixed-use Land for Sale
Dar es Salaam, Temeke, Kigamboni, 1 hour ago
1 views

Kiwanja Kinauzwa Chekechea Kigamboni

+1
Mixed-Use Land
Type
2200sqm
Square Metres
Mixed
Property Use
30000
Agent Fee
FURSA ADHIMU KWA WAWEKEZAJI – CHEKECHEKEA, KIGAMBONI Kiwanja kinauzwa katika moja ya maeneo yenye ukuaji mkubwa na fursa nyingi za kibiashara Kigamboni. SQM 2,200 Kimepimwa na kina Hati ya Wizara Kimegusa barabara ya lami Corner Plot yenye mwonekano mzuri na matumizi mengi Eneo la biashara na uwekezaji linalokua kwa kasi Miundombinu bora na huduma muhimu zipo karibu Iwe unafikiria kujenga apartments, showroom, hotel, ofisi, kituo cha biashara au mradi mwingine mkubwa, eneo hili lina kila sifa ya kufanya uwekezaji wako kuwa wa thamani zaidi kadri muda unavyokwenda. Chekechekea, Kigamboni Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na kupanga kutembelea eneo.
Kiwanja Kinauzwa Chekechea KigamboniKiwanja Kinauzwa Chekechea KigamboniKiwanja Kinauzwa Chekechea KigamboniKiwanja Kinauzwa Chekechea Kigamboni
TSh 200,000,000per SqF
Negotiable
Report Abuse
Safety tips
  • It's safer not to pay ahead for inspections
  • Ask friends or somebody you trust to accompany you for viewing
  • Look around the apartment to ensure it meets your expectations
  • Don't pay beforehand if they won't let you move in immediately
  • Verify that the account details belong to the right property owner before initiating payment
frame_left.gif