Car Parking, Domestic Sewage, Electric Supply, Gas Supply, Rain Water Drainage, Water Supply
Facilities
Kiwanja kinauzwa Kigamboni, mjimwema kina sqm 800, kipo mita 50 kutoka barabara kuu ya Kigamboni cheka na km 10 kutoka ferry. Kina documents halali za umiliki za serikali za mitaa.