Eneo hili lipo km 1.5 kutoka lami ya dege mchikichini kutoka lami hadi kufika kwenye viwanja kwa bajaji ni elfu 1 tu bodaboda ni elfu 2
Viwanja vinamilikiwa na Kampuni inayouza viwanja na itakusaidia kuweza kupata hati miliki kutoka wizara ya Ardhi
Vinafaa kwaajili ya kujenga nyumba ya kuisha,nyumba za kupangisha sababu ya maendeleo yaliyopo yanavutia watu na uhitaji wa makazi pia ni mkubwa
Unaweza kujenga nyumba ya wageni kama lodge,hotel,camp house au AIR BNB
Kila siku ni site visit kwa gharama ya elfu 15 tu
Maongezi yapo kwa Mteja ambae yupo serious kununua