Car Parking, Electric Supply, Rain Water Drainage, Water Supply, Domestic Sewage
Facilities
Kiwanja kimepimwa na kinaeneo kubwa sana na kuna nyumba ambayo imejengwa ndani ya kiwanja. kutoka barabara ya lami ya morogoro ni mita 800
Kwa usafiri wa aina yoyote unafika mpaka kwenye kiwanja
karibu sana maongezi yapo