Viwanja vinauzwa eneo la kidimu njia ya kwenda mapinga, viwanja hivi vinagusa lami ya mapinga road vinauzwa kwa ukubwa tofauti... vinavyoangalia lami sqm 1 ni 20k na vya ndani sqm 1 ni 15k, karibu sana viwanja hivi vimepimwa wala havina mgogoro na ukinunua vinatoka kwa jina lako