Electric Supply, Rain Water Drainage, Water Supply, Domestic Sewage, Car Parking
Facilities
1000000
Agent Fee
Shamba kubwa linauzwa mkoani Iringa shamba lina Title deed
Ukubwa acre 1350 shamba lina vitu vifuatavyo:
Ngombe zaidi ya 110 maziwa lita 500 kila siku.Shamba lina mikaratusi acre 50 yakuvuna mbao.shamba lina nyumba 3 za wafanyakazi umeme mkubwa shamba sehemu limepandwa avocado shamba lina maji msimu mzima mabwawa mawili makubwa ya samaki kuna Trecta linafanyakazi Datson pickup nk shamba linauzwa Bilion 2