Kiwanja nakiuza kipo MKURANGA, Malela kata ya Vianzi, eneo ni tambarale, ukubwa wa eneo hatua za miguu (20x40), nakiuza kwa bei ndogo Million tatu na laki mbili (3,200,000/=).
huduma za kijamii zipo.
1: Umeme upo mita 200 kutoka kwenye kiwanja
2: Kituo cha afya kipo mita 300 kutoka kwenye kiwanja
3: Maji yapo
4: Shule zipo (Msingi na Secondary).
Kama Upo Seriously nicheck.