Eneo limepiwa na lina hati ya wazira ya ardhi; zipo plot 2 kwa pamoja na za mtu mmoja,matumizi ni makazi,hati ni ya miaka 99;kila plot ina sqm 3200,ila kuna vipande havijapimwa ukivijulisha na hili lililopimwa jumla ni ekari 2. Lipo mjini na limezungukwa na makazi,na linafikika muda wote kutoka main road ya lami km 2.