Viwanja vinauzwa vimebaki vi nne 4, eneo usariver, kwa biashara na makazi ipo karibu na barabar ya bypass, huduma za maji na umeme, barabara na vimepimwa hatimiliki, ( tuwwasiliane number ,hamna udalali) punguzo lipo
kama uko interested wasiliana na mimi kwa makazi ,biashara(sheli,maduka,nyumba zakupanga nk)
Square meters: 575