Kiwanja kinauzwa
mahali: king'azi (karibu na mloganzila)
sifa kuu za kiwanja:
ukubwa: sqm 1,677 (eneo kubwa – linafaa kwa miradi mbalimbali)
hati halali (title deed) ipo tayari
kimepimwa kikamilifu
kuna nyumba isiyokamilika:
inaezekwa tayari
ina grill
master bedroom 1
vyumba 2
sebule
jiko
public toilet
mazingira:
mandhari nzuri ya bonde kuelekea mloganzila
eneo lina maendeleo – majirani wapo
tulivu, salama na lina upepo mzuri
linafaa kwa:
kujenga nyumba ya kisasa ya familia
upatikanaji:
km 11 kutoka mbezi mwisho
njia: mwalemi plaza na kifuru plaza → (kuelekea kinyerezi)
barabara ya pugu mnadani.
km 25 kutoka posta (city centre)
bei:
(inajadilikia kwa mnunuzi mwenye nia ya dhati)