Kiwanja chenye ukubwa wa mita 20 Kwa mita 20, sawa na sqmita 400, kinauzwa milioni tisa, Tsh 9,000,000/, kipo Gongolamboto Majohe viwege Kwa mpemba, gari inafika Hadi kwenye kiwanja, huduma zote za kijamii zipo karibu na kiwanja hiki/Romeni John/Zai.