Tanzania DSM llala Ukonga Moshibar location stendi.
Ilala Ukonga Moshibar stendi.
Closed now
• Mon - Sun, 02:00-12:00
Eneo hili lipo mjini, kutoka Barabara ya lami mita mia mbili tu, linafaa Kwa makazi na biashara, kujenga nyumba za kupangisha chapu wapangaji wanajaa, Huduma zote za kijamii zipo karibu na eneo hill.