Eneo sqmita 400 linauzwa ml 12 Ukonga Mazizini, kiwanja hiki kipo mjini, kutoka barabara ya lami mita mai tatu tu, lipo mtaa mzuri Sana, huduma zote za kijamii zipo karibu na eneo hili, panafaa kujenga nyumba za kupangisha na za kuishi. Eneo hili wapangaji ni wengi./Mazaga.