Eneo la kibiashara lenye ukubwa wa sqmita 600, sawa na mita 30 Kwa mita 20, linauzwa milioni 30,000,000/, lipo Ukonga Moshibar Mkolemba, lipo karibu na barabara kubwa, huduma zote za kijamii zipo karibu na kiwanja hiki, tayari kina msingi wa nyumba/Romeni John.