*Shamba la Ekari 374.7 linalogusa Barabara ya Mikumi-Ifakara linauzwa Ifakara, Morogoro*
Lungongole, Ifakara
Shamba lote ni tambarare halina milima wala mabonde.
Ndani ya Shamba kumepandwa miti ya Mitiki 12,000 yenye umri wa miaka 7-20
Plot size Ekari 374.7 (limegawanyika kwenye hati nne).
Document: Title Deed
*Bei shilingi Bilioni 3 maongezi kidogo*
zain