Car Parking, Domestic Sewage, Electric Supply, Water Supply
Facilities
Viwanja viwili vimeungana viko kwenye mtaa mzuri sana vinauzwa goba kulangwa. ni kilomita 1.2 toka main road
loc :goba kulangwa
area :kuna sqm 759 na sqm 674
price : mil 50 kwa kila kiwanja
umiliki :viwanja vyote vina hati miliki
huduma zote zipo... gharama ya kupelekwa site ni sh elf 30
cont.
call whatsapp &sms + kwenda whatsap moja kwa moja bonyeza>>
email
insta
facebook: excela joshua
follow this link to join our whatsapp group:
kwa mahitaji yako ya nyumba / vyumba/maeneo ya biashara ... ya kupanga na kununua... mashamba/viwanja/ magari nk ... usisite wasiliana nasi haraka