Nyumba ipo karibu na barabara mita 200 kutoka barabara ya madale ya lami, ina vyumba 3 vya kulala,sebule,dinning,jiko,master&public toilet's ndani, inajitegemea yenyewe ndani ya fence inayoingiza gari na barabara yake ni tambarare na rafiki kwa magari ya aina yote karibu sana.