Car Parking, Rain Water Drainage, Electric Supply, Water Supply
Facilities
Kiwanja kipo sehemu tambarare na njia yake ni rafiki kwa usafiri wa aina yoyote na gari linafika mpaka kwenye kiwanja huduma za kijamii zipo za kutosha na ni mita 300 kutoka barabara ya lami ya madale karibu sana usiogope bei maongezi yapo