Kiwanja Kinauzwa Kwa Mnada Bei Nzuri Sana Goba Njia Nne
1/3
Promoted
Dar es Salaam, Kinondoni, Goba, 1 hour ago
56 views
Kiwanja Kinauzwa Kwa Mnada Bei Nzuri Sana Goba Njia Nne
+1
Residential Land
Type
1000sqm
Square Metres
Residential
Property Use
Minja real estate & Car Broker inakuletea:-
Utambulisho:-
Kiwanja kinauzwaGoba Njia nne.
Kiwanja kina ukubwa wa Sqm 1000.
Kipo mita 280 hivi kutoka lami au Barbara kubwa.
Bei ni mil 65 tu.
Kina makaratasi ya kutoka serikari za mtaa.
Hili ni eneo kubwa na bei rahisi unaeeza kumiliki Goba na linauzwa kwa mnada.
MUNGU BARIKI KAZI ZA MIKONO YANGU.