Car Parking, Electric Supply, Rain Water Drainage, Water Supply
Facilities
Kiwanja kipo sehemu tambarale karibu na barabara ya lami yaani mita 150 kutoka barabara ya lami ya madale na kiwanja hichi kipo eneo ambalo halijai maji ata inyeshe mvua ya aina gani. Na kinafikika kwa usafiri wa aina yoyote. Karibu sana MAONGEZI YAPO.