tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Property
  3. Land & Plots For Sale
  4. Mixed-use Land for Sale
Dodoma, Dodoma Rural, Msisi / Dodoma Rural, 20/10
62 views

Kiwanja Cha Biashara & Makazi Linauzwa – Hombolo Bwawani, Dodoma

+1
Mixed-Use Land
Type
1034sqm
Square Metres
Mixed
Property Use
Car Parking, Electric Supply, Water Supply
Facilities
Partially Developed
Development Status
Paved Road
Access Road
Fursa nzuri ya uwekezaji karibu na Bwawa la Hombolo! Eneo lipo mita 70 tu kutoka barabara kuu ya Hombolo na mita 300 tu kutoka Bwawa la Hombolo. Linafikika kwa urahisi na linafaa kwa biashara, makazi, au miradi ya kukodisha. Yaliyopo kwenye kiwanja tayari: Nyumba ya Makazi – Chumba 1, sebuleni, jikoni (imewekwa kabati na vifaa), na choo Ukumbi wa Sherehe/Mikutano – Tayari una viti, meza, mfumo wa sauti (music wiring), TV na rafu. Unaweza kuanza kukodisha mara moja Duka la Biashara – Fremu iliyokamilika yenye umeme, tayari kwa kufungua biashara Msingi wa Ujenzi – Hardcore foundation imara wa mita 11.5 × 15 tayari kwa kuendeleza jengo kubwa Njia: Barabara nzuri Mahali: Hombolo Bwawani, Dodoma (km 19 kutoka Mtumba Veyula ring road) Hii ni fursa nzuri kwa mtu anayetaka kuanza biashara au kuwekeza katika eneo linalokua karibu na bwawa.
Kiwanja Cha Biashara & Makazi Linauzwa – Hombolo Bwawani, DodomaKiwanja Cha Biashara & Makazi Linauzwa – Hombolo Bwawani, DodomaKiwanja Cha Biashara & Makazi Linauzwa – Hombolo Bwawani, DodomaKiwanja Cha Biashara & Makazi Linauzwa – Hombolo Bwawani, DodomaKiwanja Cha Biashara & Makazi Linauzwa – Hombolo Bwawani, DodomaKiwanja Cha Biashara & Makazi Linauzwa – Hombolo Bwawani, DodomaKiwanja Cha Biashara & Makazi Linauzwa – Hombolo Bwawani, Dodoma
TSh 26,500,000Outright Price
Negotiable
Report Abuse
Safety tips
  • It's safer not to pay ahead for inspections
  • Ask friends or somebody you trust to accompany you for viewing
  • Look around the apartment to ensure it meets your expectations
  • Don't pay beforehand if they won't let you move in immediately
  • Verify that the account details belong to the right property owner before initiating payment
frame_left.gif