Car Parking, Domestic Sewage, Electric Supply, Rain Water Drainage, Water Supply
Facilities
Kiwanja kinapatikana Mwanza Busweru nyuma ya mkuu wa wilaya n viwanja viwili vimeunga na n karbu ni sehem nzur sana imejengeka kiwanja n kikubwa sana kinauzwa karbu sana cm