Car Parking, Domestic Sewage, Electric Supply, Gas Supply, Rain Water Drainage, Water Supply
Facilities
30000
Agent Fee
Eneo la heka Moja na nusu sqm 6,256.
Linauzwa Madare miters 700 kutoka kwenye rami.
Ndani ya Eneo Kuna nyumba tatu zote zina wapangaji pamoja na mabanda saba ya kufugia kuku.
Eneo liko kwenye mtaa ulio jengeka kwa plani nzuri na nyumba za Kisasa.
Bei yake ni milioni 950.
Hati ipo kila kitu Kiko vizuri ni eneo rafiki kwa uwekezaji.