Nyumba inabedroom3 vyumba v2 vipo ndani chumba ki1 kipo nje uwani kuna jiko nje uwani na sehemu ya kupumzikia Mazingira Mazuri Sana usalama wa kutosha gari inafika site... Sqmeter 400... bei milioni100... kupelekwa site 40k awamu 2 mwsho... sales agreement...