Car Parking, Domestic Sewage, Electric Supply, Gas Supply, Rain Water Drainage, Water Supply
Facilities
Fully Developed
Development Status
Dirt Road
Access Road
Certificate of Occupancy
Title
200000
Agent Fee
Eneo kubwa linauzwa
Location Mkuranga
Ukubwa : Acre 180
Eneo Safi Kwa uwekezaji
1:Unaweza kukata plot za Industrial acre 10
Ukapata plot zaidi ya 15
Za ukubwa wa acre 10
Sifa Eneo lipo tambalale lote
Eneo lipo karibu na viwanda vikubwa vya Keda Mkuranga
Eneo kuna barabara kubwa ya kutokea mbezi mkuranga kuja kuunganisha na lami ya mbezi kwaajili ya kupita magari makubwa
Eneo Linagusa gas
Eneo linafaa viwanda Safi Kwa uwekezaji
Bei Billion 1:
Mazungumzo yapo