Kiwanja Kinauzwa, Bariadi Simiyu Jirani Na Kwa Mkuu Wa Mkoa

Posted today, 09:44
Bariadi, Simiyu Region, Tanzania
51 views
Mixed-use Land
Type
800
sqm
Square meters
Mixed
Property Use
kiwanja kipo jirani na kwa mkuu wa mkoa, umeme upo, jirani, maji yapo jirani, barabara inafikika, kilometre 2 kutoka barabara kuu ya kwenda Mwanza, network ipo kwa mawasiliano na kuna watu wamejenga na wanaishi tayari, pia kiwanja kimepimwa na hati miliki zipo na muuzaji ndiye mmiliki halali. karibuni sana.
 • Kiwanja Kinauzwa, Bariadi Simiyu Jirani Na Kwa Mkuu Wa Mkoa
 • Kiwanja Kinauzwa, Bariadi Simiyu Jirani Na Kwa Mkuu Wa Mkoa
 • Kiwanja Kinauzwa, Bariadi Simiyu Jirani Na Kwa Mkuu Wa Mkoa
 • Kiwanja Kinauzwa, Bariadi Simiyu Jirani Na Kwa Mkuu Wa Mkoa
 • TSh 3,000,000
  Last seen 1 hour ago
  0715839646
  Tell seller that you found ad on Jiji.co.tz

  Similar adverts