Shamba linauzwa lipo kijiji cha bago kata ya kiwangwa wilaya bagamoyo linaukubwa wa heka 40 linafa kulima mazao ya aina yoyote au kufuga kisasa umbali kutoka lami kilometa 4 barabara safi mpaka shamba bei sh laki tisa kwa heka moja mawasiliano no kalibuni sana kiwangwa yenye neema kuona bule asanteni sana