Shamba linauzwa lipo kijiji cha mkoko kata ya msata halimashauli ya chalinze wilaya ya bagamoyo mkoa pwani linaukubwa wa heka 150 linafa kulima mazao ya aina yoyote umbali kilometa 15 kutoka lami bei sh kwa heka moja mawasiliano no kalibuni sana msata