Eneo Lenye Ukubwa Wa SQMT 438 Linauzw Lipo Kerege Kwa Kiwete
1/10
+ 5
images
Pwani, Bagamoyo, 23/03
4 views
Eneo Lenye Ukubwa Wa SQMT 438 Linauzw Lipo Kerege Kwa Kiwete
+1
1
Mixed-Use Land
Type
438sqm
Square Metres
Mixed
Property Use
Electric Supply, Water Supply, Car Parking
Facilities
Yes
Service Charge
50000
Survey Fee
50000
Development Fee
50000
Legal Fee
50000
Agent Fee
ENEO LINAUZWA
BEI MILIONI 8,500,000 maongezi yapo
Eneo lipo kerege kwa kiwete
Kutoka lami kuu ya bagamoyo road mpaka unafika kwenye kiwanja ni dk 3 tu kwa mguu
Kiwanja nikizuli sana na balabala ni nzuli sana usafili wa aina yoyote unafika mpaka kwenye eneo la kiwanja
Ukubwa wa kiwanja sqmt 438
Eneo halina migogoro yoyote wala changamoto yoyote
Miundo mbinu ya kijamii yote ipo kama maji umeme na kumejengeka nyumba nzuli zilizopakingika... nk...
Eneo hili limepimwa na lina mawe. Hati itatoka kwa jina la mmiliki mpya atakae kinunuwa na lamani ipo pia
Kimfaacho mtu chake wadau wangu! sadakalawe hii hapa
#cal071XXXXXXX