Nyumba inauzwa ipo kisemvure nyumba ya vyumba4 vya kulala 3 masters bedroom stingiroom daingiroom kitchen toilet Public nyumba umeme upo Maji yapo nyumba ina Hati yake Mauziano ya serekali ya mtaa ukubwa wa Kiwanja sqm 1200 nyumba ina kisima cha Maji nyumba MPYA nyumba aipo mbali na Barbara ya rami KM 1 nyumba bei ml 90