Apartment ya vyumba viwili sebule jiko master pablic yenye full furniture, inapangishwa milioni mbili na nusu, 2500,000/ ipo Upanga jijini Daresalaam, malipo miezi sita na mwezi mmoja wa madalali, kupelekwa kwenda Kukagua service charge ni laki moja, 100,000/ huduma zote za kijamii zipo karibu na nyumba hiyo./ Dalali Upanga.