Apartiment ya chumba kimoja masta, na sebule jiko la kibalaza kwa nje, inapangishwa laki mbili kwa mwezi mmoja, malipo miezi sita au mitatu na mwezi mmoja wa madalali, ipo Ukonga Moshibar location, huduma zote za kijamii zipo karibu na apartiment hii/ Charles Njoka.