Eneo hili ni la kibiashara kwani lipo mjini Manzese center, biashara masaa 24, ukiwekeza biashara yako unavuna faida kwa muda mchache. linatazama barabara kuu ya lami iendayo Morogoro. eneo hili lina guest mbili zenye vyumba 25 na eneo la wazi kwa ya kupaki magari na pikipiki, mbele ya nyumba hizo kuna fremu zipo kumi zote zina wapangaji.