Gesti yenye vyumba 11 vyote master yenye eneo sqmita 2562 inauzwa milioni 200 ipo Zanzibar Unguja Chwaka Uroa Nyanje location, ipo karibu na bahari ya hindi, pia ipo karibu na Barabara kubwa ya lami, ni eneo maalumu Kwa ajili ya biashara, bei ni maelewano, Ndugu wateja karibuni kuwekeza katika eneo hili. Changamkia ofa hii, eneo lililobaki unaweza kujenga bar, na hotel ya kisasa./Habeli Zanzibar. Umbali kutoka barabara ya lami ni mita 700, na umbali kutoka bahari ya hindi ni mita 900, eneo hili ni beach plot. Bei ni maelewano. Wateja Wote mnakaribishwa kwa uwekezaji wa aina mbalimbali.