Nyumba inauzwa ipo buza nyumba ya vyumba 4vya Kulala masters bedroom stingiroom daingiroom kitchen nyumba umeme upo Maji yapo nyumba ina kisima cha Maji nyumba MPYA ukubwa wa Kiwanja sqm 900 nyumba ina kisima cha Maji safi nyumba ina hati miliki ya wizara ya aridhi nyumba bei ml 180