Nyumba kubwa hiyo inauzwa ipo Tabata kisukuru ina vyumba vitatu kimoja Master , Dainig kitchen pabulck toilet sehemu ya kupasia nguo Ina kisima kikubwa cha kuhifadhia maji Ina matank pia Ina umeme na maji ya Bomba uwanja wa kutosha kupaki magari bei milioni 80