Apartment ina vyumba 2 vya kulala kimoja ni master, sebule, jiko na public toilet. Ina full AC vyumba vyote, ina heater za maji moto jikoni na kwenye vyoo, pia ina chumba cha mazoezi (GYM) free, car parking ipo, remote gate control na electric fence. Apartment ipo dakika 3 kutoka lami karibu sana