Kina vitu vifuatavyo:Bluetooth: Usb: MIC: Screen: Transmitter: Receiver: Aux: 15M: Sound card
Hiki ni kifaa kinafanya kazi ya kusambaza na kupokea sauti au mziki kwa njia ya wireless,pia kinawezakutoa sauti kutoka kwenye Tv bila waya.(bluetooth).usb 5v1.transimission.hii maanani yake kinachukua sauti au mziki kutoka vifaa ambavyo havina bluetooth kabisa kama vile radio,camera,homfeata,sabufa,desktop computer,kaseti,tv,kingamuzi,deki,n.k.nakupeleka sehemu ambazo zina bluetooth kama vile sabufa,headphone,airphone,digital radio,tv,and all wireles headphone.2.receiver.hii maana yake huchukua sauti ama mziki kutoka kwenye vifaa ambavyo vina bluetooth kwa njia ya wireless kama vile: pc,computer,simu,tablet,tv.nakupeleka kwenye vifaa ambavyo havina bluetooth kama vile:radio,homfeata,sabufa,kaseti,tv,n.k