Original Booster Cable 5V to 12V.yani huu waya unauchomeka kwenye USB ya powerbank au chaja ya simu au chochote chenye usb halafu unapata 12V kwajili ya Rauta,king'amuzi,... au chochote chakutumia 12V 1Ah.kwahyo ruta yako umeme ukikatika huna haja yakusubiri umeme urudi,unatumia tu powerbank ya simu kuendeshea hyo rauta yako.