tre.gif
Sell faster
Buy smarter

Ekimart Drilling

5+ years on Jiji
Last seen 10 hours ago
Ekimart Drilling Company Limited ni kampuni inayotoa huduma za kitaalamu za utafiti wa maji chini ya ardhi, uchimbaji wa visima vya maji, usafishaji wa visima, ukarabati wa visima vya zamani na ufungaji wa pampu za maji. Tumejizatiti kutoa huduma bora na suluhisho la uhakika la upatikanaji wa maji kwa majumbani, mashambani, biashara na jamii mbalimbali nchini Tanzania.
frame_left.gif