ekimart drilling company limited
unatafuta maji? tukusaidie kupata chanzo cha uhakika!
tunatoa huduma za kitaalamu za:
utafiti wa maji chini ya ardhi
uchimbaji wa visima virefu vya maji
usafishaji na uoshaji wa visima
ukarabati wa visima vya zamani
ufungaji wa pampu za maji
huduma bora, weledi na suluhisho la mahitaji yako ya maji kwa nyumba, mashamba, biashara na taasisi.
piga simu / whatsapp
ekimart drilling company limited
maji ni uhai — chanzo chako cha maji, jukumu letu!