Nyumba inapatikana mwanza Igoma jiran sana na barabara ya lami, iko ndan ya fens, vyumba vitatu vya kulala kimoja master sebure jiko la kisasa, stoo choo na bafu vya public,sehem ya kufanyia kikao cha familia, sehem ya kupungia upepe ukiwa unakunywa juice nk, piano kuna chumba cha nje, stoo ya nje na jiko la nje maji na umeme vipo ina maget mawili, kiwanja n kikubwa sanaya