Nyumba inapatikana Mwanza Muhandu (Machinjion) center ina kiwanja kikubwa Sana na kiko ndan ya fensi umeme na maji vipo, ina vyumba vitatu vya kulala sebure kubwa, jiko stop, choo na bafu vya public, unaweza iboresha na kuitengeneza kadri uwezavyo maana iko center inauzwa 42million karbu sana cm075XXXXXXX