Aina Dalali mm mwenyewe Ipo Mwananyamala hospital gari mpka ndani na parking ipo nyumba nzuri sanaa milioni 95 maongezi yapo mbele ni parking na sebule vyumba 2 kimoja master uwani lipo jiko na vyumba vi4 yani chumba sebule mara 2 na public toilets na geti la nyuma la kutokea wapangaji karibuni sanaa