Nyumba mbili ndan ya kiwanja kimoja inapatikana mwanza malimbe nyumba kubwa ina vyumba vitatu vya kulala kimoja master sebure kubwa, stoo choo cha public, ya nje ina vyumba viwili single mbili choo na bafu vya nje, maji na umeme vipo hati miliki ipo mkonon, iko karbu sana na chuo cha SAUT- unaweza pangisha wanachuo pia eneo n kubwa unajenga nyumba nyingine zaidi ya moja zote hizo zinauzwa 37million, maongez yapooo karbu075XXXXXXX