Nyumba inapatikana mwanza Kisesa stand, ina viwanja viwili vimeungana,vyumba vitatu vya kulala kimoja master sebure kubwa jiko stoo choo cha public, kwa nje kuna chumba na sebu mara mbili, kuna mabanda mawili ya kufugia kuku, pia kiwanja kimoja kiko wazi, unaweza jenga apartment, hotel, gest, makaz, day care n kiwanja kikubwa sana panauzwa 140 million karbu Sana cm075XXXXXXX