Nyumban inapatikana Mwanza Nyegez Ruchelele center, ina Vyumba vitatu vya kulala kimoja master, sebure, dining jiko na stoo, umeme na maj vipo, pia kuna Nyumba ya chumba na sebure ya wapangaj, kiwanja kina urefu hatua 65 na upana hatua 50 kuna miti ya matunda kama, maembe, machungwa, mapera, cheza nk. Vyote hvyo vinauzwa 55million maongez yapoooo!,karbu sana075XXXXXXX