Nyumba inapatikana Mwanza Usagara kwenye barabara ya lami, ina vyumba vitatu vya kulala kimoja master sebure kubwa dining jiko na stoo, choo na bafu vya public, umeme upo, tails zipo, na jipsum zpo, iko ndan ya fensi, kiwanja n kikubwa sana unajenga nyumba nyingine inauzwa 38.5million karbu sana cm075XXXXXXX