Nyumba inauzwa Mikocheni B. Ipo opozti na JKT. ipo umbali wa mita 100 kutoka Barabara ya rami ya old bagamoyo.nyumba inatazama Barabara ya Rami ya mtaa.ina bedroom tano za kalala, sitting room, Dining, kitchen. Public toilets. Nyumba ipo mtaa mzuli sana. Kiwanja chake kina ukubwa wa sqm 1200+