Nyumba ina vyumba 3 vya kulala kimoja ni master, sebule, jiko na public toilet ndani, nyumba hii haijakamilika ujenzi wake lakini ina eneo kubwa la sqm 1,000 na lipo karibu na barabara ya lami, karibu sana, (Title deed ipo) hati miliki ya wizarani ipo